Sema ukweli wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema ukweli wako

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zipuwawa, Jan 2, 2011.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Heri ya Mwaka Mpya wana JF nashukuru Mungu kwa kutulinda na kuvuka mwaka .....Mungu Ni mwema kwa mema yake aliyotutendea!

  Wana JF kwa mwaka Mzima uliopita ni AVATAR gani iliyokuvutia mara uionapo na ni zipi ambazo huwa hupendi kuziona kila ukutanapo katika kuchangia maada mbalimbali? Toa sababu na huku ikiitaja AVATAR hiyo husika.

  NAWASILISHA KWENU
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Hapa ukweli nikiiona hii nawaza mbali sana . Hivyo First lady unaweza elezea kwanini uliamua kuweka hii
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mkuu Zipuwawa ukweli umeipenda sana ndo maana inakukumbusha mbali, hivyo ni kuendelea kuifurahia badala ya kutaka kujua ameipata wapi inaweza kuondoa radha ya raha tunayopata, ila wape changamoto kina dada wengine kupata picha nzuri kama yake, teh teh.
  Kweli ni nzuri ila Halafu ni ya kawaida kabisaaa
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Boma ni kweli ni nzuri na zipo nyingine nyingi!
   
Loading...