Sema neno moja, Kumtia moyo huyu DOGO

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5069334_fbimg1490699416464_jpegfa188a7a1a8787368326695e7a9d29c8

5069335_fbimg1490699433611_jpegb2ab3838b8ac8bc30ad5412ac156ad23

5069337_20170328121210_jpeg3791e9bed7f24908b9e196cfc1415c0d

Kuna upungufu mkubwa wa watoto wa namna hii mitaani kuliko enzi za miaka ya 90 kurudi nyuma...
 
Nlikua mbaya sana kutengeneza hayo makitu enzi hizo,na ulikua nikikaa kuunda gari,nlikua sitoki nlipo kaa mpaka nimalize,wamenimalizia sana chakula home..
sema familia za kiswahili tuna roho mbaya sana badala wanipe moyo, chakula chenyewe nlikua sikikuti,
 
Pole sana mkuu, Veta ingekuwa na macho hadi mitaani, alafu iko imara na yenye maelngo makubwa wangekuwa wanapita mitaani kurecruit talented kids kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kuna jamaa aliunda Receiver wakati hata drs la saba hajamaliza na ikawa inashika RTD Usiku...

Safi sana ...
 
Kipawa cha ubunifu bahati mbaya sana serikali yetu umeivest kwenye siasa zaidi kuliko ufundi na ubunifu
img.jpg

na sanaa ya miziki na maigizo inapewa kipaumbele kuliko sanaa hizo ambazo ziko sambamba na maono ya waserikali ya viwanda na technolojia.

Nilijifunza kwa Obama alipomuita ikulu yule dogo aliyetengeneza Circuit ikadhaniwa ni bomu. Watoto kama hawa ndio wanatakiwa kuonekana ikulu wakitiwa moyo kuwa inawezekana anachokifanya kuwa kitu halisi...
 
5069334_fbimg1490699416464_jpegfa188a7a1a8787368326695e7a9d29c8

5069335_fbimg1490699433611_jpegb2ab3838b8ac8bc30ad5412ac156ad23

5069337_20170328121210_jpeg3791e9bed7f24908b9e196cfc1415c0d

Kuna upungufu mkubwa wa watoto wa namna hii mitaani kuliko enzi za miaka ya 90 kurudi nyuma...
Naomba kumtia moyo kwa kununua moja ya kazi zake hasa hii Bajaji ili niwaonyeshe watoto wangu namna mwenzao alivyo thubutu, plz niambie naipataje hii bajaji
 
Back
Top Bottom