kinywele ki1
Senior Member
- Jan 18, 2014
- 119
- 23
Kichwani katika elimu naskia wapo juuWaliotulia kwenye nini?
Wakike niwatamu...!
Waliotulia kwenye nini?
Wabishi mno na wachungu wa kuspend.
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja mpare, enzi tuko shule siku moja tulimuomba anunue kashata. Tulichukua zaidi ya dakika arubaini na tano kumshawishi anunue kashata moja tu, akakataa katu katu. Akasema hataki kuchange hela yake.