sema chochote kuhusu wapare

sema chochote kuhusu wapare

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Mwenye chochote anachofaham kuhusi wapare atiririke hapa.mana naskia ndio kabila la watu waliotulia
 
Wanapenda
Makande'ndiz maharage(kishumba)wana shushia na denge lua.(pombe ya miwa)

Matunda
Mapera,fenesi na avacado

Beach na Picnic
Ziwa jipe na bwawa la nyumba ya Mungu

Mahakamani
wanapenda kesi kwelikweli
Wapo tayari kuuza ng'ombe kwa ajili ya kesi ya kuku.

Ukimpangisha kwa nyumba yako mmoja wataitana kumi kwa rumu moja
Kwenye Yale mambo mengine (kugegeda) wanawafukuzia wahaya kwa karibu.
Wakizeeka hasa wanawake (kokoo)wanakuwa wakarimu sana kwakuwa wanaanza kuaamin hawawezi kwenda na Mali zote kaburin

Searching....please wait
 
kama umezoea kuishi mjini hasa dsm ukipelekwa huko milimani na ukiona jinsi barabara zao zilivyochongwa kuzunguka hiyo milima kamwe hutarudi tena huko .
 
Wabishi mno na wachungu wa kuspend.
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja mpare, enzi tuko shule siku moja tulimuomba anunue kashata. Tulichukua zaidi ya dakika arubaini na tano kumshawishi anunue kashata moja tu, akakataa katu katu. Akasema hataki kuchange hela yake.
 
Wabishi mno na wachungu wa kuspend.
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja mpare, enzi tuko shule siku moja tulimuomba anunue kashata. Tulichukua zaidi ya dakika arubaini na tano kumshawishi anunue kashata moja tu, akakataa katu katu. Akasema hataki kuchange hela yake.

kwahiyo ukaona wapare wote ndivyo tulivyo ?
 
Back
Top Bottom