jamaa ni mkali sana, ila kwa upande wangu naona kama kwa sasa ukali wake unapungua. Nikikumbuka nyimbo zake za zamani kama, tuliza boli, ungeniambia, dirisha la misukosuko, mabinti damu damu, hawajui na binamu ni karinganisha na nyimbo zake za sasa, kwa upande wangu naona napoteza ladha labda kwa sasa beats zinakuwa kali zaidi lakini sipati ile flavour yake halisi.
But still anajua