Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Khaa leo nina bahati. Nikiingia tu hiyoooo
lol uko mzuri wee mkaka !!
Nibariki plz mtumishiMimi natupia sana tu, hujakutana nazo tu
Uje jumapili baada ya ibada😁😁😁
Tuage na yako mkuu!!
@Glenn jaman fanya mpango basi.Akitupia nitag nukuje fasta naeza kuwa nazurura zurura huko!
Si mliaga manaenda lala jamani imekuwajelol uko mzuri wee mkaka !!
[emoji23][emoji23] uko na very good looking, hongera.Si mliaga manaenda lala jamani imekuwaje
Mungu anakuona yaani, kama haupo vileKhaa leo nina bahati. Nikiingia tu hiyoooo
Nasubiri yako nilale ujue
Usiombee kukutwa nakuambia [emoji23][emoji23]Mara pap sura mdeni wako, mbona kunakuwa hapatoshi humu, hahahaha
Amenilia buyu!!🙆🙆