Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nilianza safari ya kwenda pm nilipoanza kuona mapicha picha mengine nikapotezea.

Kiufupi msela kazingua sana why ajifanye manzi wakati ni msela watu wakimquote anajibu na makopa kama manzi huyu jamaa adhabu yake tutaijadili kilingeni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh haya mambo ya id mbili bhana unaweza kujichanganya ukakuta umecomment kwa id ambayo haukutakiwa kucomment nayo!! Wale wanaoweza kucontrol id hadi nne na zote ziko active hao sasa ni malegendary!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Na kuna siku ashawai kujichanganya nikauliza lakini sikupata jibu la kueleweka
 
Hata madishi yako ya Msata yalishindwa kung'amua kuwa picha kama hii yawezekana kuwa ni picha ya maslei kwini wa Instagram ukavuta na subira kwanza mpaka uwe na uhakika? Umeniangusha sana indeed wallahi [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…