Selfika na JF: Snap it. Show it

Umependeza ulisuka utumbo hapa ?
Msuko huu mzuri sana wote niliwaona wamesuka wanapendeza .
Msuko unaitwa utumbo? Hahaha
Me leo mpaka kuna shost mmoja wa shule ameniuliza kwani we uwa ni msabato?
Nikamwambia hapana

Kanambia naomba usuke

🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…