Ni kweli ni mjanja mjanja, ila ile picha ilikuwa yangu.
Na ndio maana niliifuta mapema baada ya kuambiwa sijacrop sura inaonekana.
Fungua pm nikutumie nyingine.
Ni kweli ni mjanja mjanja, ila ile picha ilikuwa yangu.
Na ndio maana niliifuta mapema baada ya kuambiwa sijacrop sura inaonekana.
Fungua pm nikutumie nyingine.
Mkuu unafaa kuwa balozi wa mambo hadharani! Unaweza kuhamasisha hata hapa jf watu watupie picha zao na waache keep jifichaficha ili tujue mbivu na mbichi..