Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdomo wa kike kabisa huu.
Hivi hapo umenuna? Au ndo mapozi? Uwiiiiiiih
Ila wewe utapigwa siku[emoji23] nmekumbuka ile comment yako mpaka jamaa wa mapazia kaifanyia lamination kabisa hahaa
 
Maninaaaaaaaaaaa... Mtoto unaonekana mtamu sana wewe lol!!!
Lips sasa [emoji39][emoji39][emoji39]!!
Umenouga hatari dear![emoji8][emoji8][emoji2956]
Mbna nimepitwaaaah khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Irudiweeeeeeh
 
Mbna nimepitwaaaah khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Irudiweeeeeeh
Lol na umepitwa na kitu kizuri hatare sana.... kitu cha kuombea mkopo ukaingiziwa siku hiohio hakii Kelsea msikie tu !!! mzuri mno mnoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…