Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali..
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka eeeh
Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali..
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka eeeh View attachment 2179513