Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
😄😄😄Karibuni Daku
Karibuni Daku
alfajiri nakula daku ya kikubwa.hahahaDaku hua alfajiri, mbona umewah hvyo 🤨🤔
Hata kucheza nilishindwa[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
hujambo,bintiHata kucheza nilishindwa
Kiatu kile kilinikomesha [emoji23]
Sijambo vipi wewehujambo,binti
nzuri kbs,za asubuhi karibu supuSijambo vipi wewe
Habari ya Asubuhi
🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣✌️✌️✌️✌️✌️alfajiri nakula daku ya kikubwa.hahaha
tupe selfii ya asubuhi asubuhi tuianze karume day vizuri mjeda!nzuri kbs,za asubuhi karibu supu
MaboyaSiyo baharini tu. Hata huko kwa mitume na manabii wenye hela kamwe hawaguswi na majini wala mapepo; na hata wakikaa pale mbele kabisa karibu na madhabahu ni nadra sana kuona wameanguka nabii akichochea moto wa maombi [emoji848][emoji848][emoji2221]
Habari za asubuhi wee msukuma!!✋Maboya
Alishaiongelea hii[emoji1787]
Tutafute pesa tu
Ooh asantenzuri kbs,za asubuhi karibu supu
Kiwanja gani iki moroFortnox namalizia hapa tukalale sasa [emoji41][emoji41]View attachment 2178528
Salama kabisa[emoji1787]Habari za asubuhi wee msukuma!![emoji113]
Mungu ni mwema we are all fine msukuma!!Salama kabisa[emoji1787]
Umeamkaje
Boss ledi wetu
Nyumbani Park, hapa mausingizi kinoma.. dah! tutazeeka mapema sana hatulaliKiwanja gani iki moro
hahahaha.mtihani huo.mrembo rafikitupe selfii ya asubuhi asubuhi tuianze karume day vizuri mjeda!