Hapo hatuishi Rafiki, tunapita tu, sio kwetu!!!!Kuna watu mnaishi jamani !!!Pametulia balaa
Weeehhh nyie Ndio mnaishi sasa wengine tunawasindikiza [emoji1787]!!Hapo hatuishi Rafiki, tunapita tu, sio kwetu!!!!
nimeshatuma ujue!!Nasubiri yako bosi wangu,leo sina mpya[emoji2]
Shangazi njoo nasi hapa tupige vyomboo [emoji41][emoji41][emoji41]
nimeshatuma ujue!!
Ndio ivyo ivyoo.. leo kaisar kanikaba sanaa... nimetoka sasa wacha tupige maji.. inabidi ukuje una kiti chako special shangazi shangazi 😊😊Kama vyombo unavyomaanisha ni mbege nakuja fasta[emoji2][emoji2]
Ndio ivyo ivyoo.. leo kaisar kanikaba sanaa... nimetoka sasa wacha tupige maji.. inabidi ukuje una kiti chako special shangazi shangazi [emoji4][emoji4]
Usijali shangazi hata mie nitakupakata shangazi.. kwanini umie bwanaa 😎😎Kwakweli itabidi nije na kiti cha sponji maana mifupa itauma[emoji2][emoji2]
Sina mpya kipenzi!!!!View attachment 2170801
Leo uweke full shangazi bana unatunyima uhondo 😋!Kwakweli itabidi nije na kiti cha sponji maana mifupa itauma[emoji2][emoji2]
Haya nasubiria yako sasa tupia nawewe!Hata ya zamani haina ubaya,bado ni [emoji91][emoji91][emoji3059]
Usijali shangazi hata mie nitakupakata shangazi.. kwanini umie bwanaa [emoji41][emoji41]
Ewaaa shangazi 😎😎Mjombaaa
Haya nasubiria yako sasa tupia nawewe!
Wigelekelo wherayuuuu you are needed na mzungu hukuuu!!🤭🤭Leo [mention]Wigelekelo [/mention] yuko wapi,anapishana na gari la mshahara huku[emoji2][emoji2]
Leo uweke full shangazi bana unatunyima uhondo [emoji39]!
Fanya wepesi aseeFull itakuja tu..
Yeah aweke full[emoji846]Leo uweke full shangazi bana unatunyima uhondo [emoji39]!
Shangazi mzungu mi najua ataweka tuYeah aweke full[emoji846]