Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
ππππ wakaongeze na mafuta ya upako... wewe ni mama la taifa mama la dunia.. sio duniani hata mbinguni Mungu anajisifia uumbaji wake kwako β€οΈβ€οΈππMchumba kaandika atakaye pinga akunywe maji ya upakoπ¬
hana kitu huyoo.. mwenye kitu special ni wewe... una kakitu kako yaani angekuwa nako ningempa sifa zake ila hanaaaaaaa wajameni πππππNaye ana kakitu kake amaizing sana, tena tuwili sio kakitu kamoja, ni vile tu hujamjulia vzuri.
We mchunguze kwa makini utagundua
BlackLight πHahahaa
Inaitwaje
Depal anacho best yangu acha ugomvi kipenzi π¬hana kitu huyoo.. mwenye kitu special ni wewe... una kakitu kako yaani angekuwa nako ningempa sifa zake ila hanaaaaaaa wajameni πππππ
Hatari [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha hili jambo
my Nuzulati wangu my inspiration... msimjaze upepo bure mtoto wa watu πDepal anacho best yangu acha ugomvi kipenzi π¬
Sijawah iona hii, enjoy babe.BlackLight π
Ni newSijawah iona hii, enjoy babe.
Me ndio kwanza nipo njian narud
Mbombo ngafuMbombo jilipo...View attachment 2170768
ππππππNi new
We si umezoea za deejey mafufu π π
Ufike salama shost akee π
dingi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimeipenda hiiLove from mama [emoji3590] happy birthday to me View attachment 2169995
Kuna watu mnaishi jamani !!!Pametulia balaaMbombo jilipo...View attachment 2170768
Strawbella vitu vyako utaweka saa ngapi mzungu wetu???
Shangazi njoo basi hapa tupige vyomboo πππNasubiri yako bosi wangu,leo sina mpya[emoji2]
Mi mwenyewe sina mpya ujue ngoja nisachi sachi galleryNasubiri yako bosi wangu,leo sina mpya[emoji2]