Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,565
Je
Uko tayari kuwa nami mpaka ukamilifu wa dahari?!
Ushamaliza kupika?!Mwanza mwanzaView attachment 1246241
Mwanza mwanzaView attachment 1246241
Ushamaliza kupika?!
Sio kila ndio ni NDIO handsome!Huitaji kuuliza swali ambalo bila shaka unajua 100℅ jibu litakuwa ni ndio.
KhaaaaNa kula nishakula
Huyo jamaa mwingine yeye huwaga ni kulala tu. Hivi kwanini huyo heshima yake huwa ni kumlaza?
Khaaaa
Hata karibuu
Sio kila ndio ni NDIO handsome!
Hahahaaaa....Aiseee
Ilikuwa mbichiNimekukaribisha juu huko
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji848][emoji848]
Kweliii notification hata sikupata na pia tagging haikuwa na rangi ya blue 😂😂Nilitag vizuri mimi jamani
Kimebaki hicho...Ilikuwa mbichi
[emoji8]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Njoo
Mkuu leo beer wapi?Naona pamepoa muda huu
Hahahaha, kiduka cha mangi tu, hapa kwa Shayo ,we wapiMkuu leo beer wapi?
Nipo njian Leo kvant