Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu unakeshaga wapi kwani hadi unapitwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakua jukwaa la Manchester United navizia huku nakuta hola naona watu wanasifia tu picha hamna narud Tena kule man u kdgo nasema Ngoja nikachungulie saiv nakuta Tena hola kwa Sasa nimekata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…