Selfika na JF: Snap it. Show it


Aisee ni somo nzuri kweli , sikuwahi kufikiria ningelisoma Advance maana niliona lina mambo mengi . Mwisho wa siku nikalipenda hadi kununua Cd ili nielewe physical geography vizuri .

PCM nayo ni combi nzuri mtu kuichukua , hiyo PGM unaenda kupasua kichwa huko .
 
Ubaya wa hili somo ni kuwa halitaki mbwembwe. Jibu swali kwa ufupi na kwa ukamilifu. Ni sayansi hii. Ukicheza kidogo tu utajishangaa unatoka na B au C. Mojawapo ya masomo rahisi kabisa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…