Na wanafikia ndoto zao bila shida huku kwetu sasa!!Tupelekeni watoto wetu.. shule kama hizi.. tuwarahisishie kwenye connection na michongooo.. huyu wa Princeton University kanitoa udenda hadi nimetamani kurudi shuleView attachment 2124664View attachment 2124665
Hahaaaaaa Naamini Ina taste good and refreshing kwa anayeielewa kama wewe unavyozielewa soda.Mkuu usifananishe soda na vitu vya ajabu[emoji23].
Halafu mimi nimeongelea upande wa taste tu,na siyo chain value yake
Kama ya general sabaya [emoji3]Gumashine.
yako wapi hayo mafuta?? Mwili poa sana huo upo hakuna futa hata tone! mie sasa mweh!Hutaki
Na mimi nikate mafuta mkuu?
Sisi tuliosoma chuo Cha kata dodoma tukienda havard semister ya kwanza tunaliwa kichwaTupelekeni watoto wetu.. shule kama hizi.. tuwarahisishie kwenye connection na michongooo.. huyu wa Princeton University kanitoa udenda hadi nimetamani kurudi shuleView attachment 2124664View attachment 2124665
sijayaona tuma Tena niyaone!!Nimeselfika jana hapa hukuyaona?
Sema wakati Babu zetu wakikatazwa kuyeyusha chuma pale tosamaganga, wakiuliwa na wengine kupelekwa utumwani.Sure hizi chuma ni shida wakati babu zetu wanawinda ngedere wajapani wakawa wanaumiza kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tuliosoma chuo Cha kata dodoma tukienda havard semister ya kwanza tunaliwa kichwa
Usicheke boss ukweli mchungu [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sioni mafuta hapo.. sanasana naona vidole vizuriii msemo wa @T1990 ELY vinasadifu yaliyomo yamo
😅😅😅😅ELY anakupoteza na misemo yake hiyoSioni mafuta hapo.. sanasana naona vidole vizuriii msemo wa @T1990 ELY vinasadifu yaliyomo yamo
😅😅😅😅ELY anakupoteza na misemo yake hiyo
Tupelekeni watoto wetu.. shule kama hizi.. tuwarahisishie kwenye connection na michongooo.. huyu wa Princeton University kanitoa udenda hadi nimetamani kurudi shuleView attachment 2124664View attachment 2124665
kweli tena upo vizuri mkuu!! Hongera sana
kweliiiiiiiiiii kumbe mjep sio wa mchezo mchezo!!Wacha bana
Nawewe selfika mkuu uibariki jumapili hiikweliiiiiiiiiii kumbe mjep sio wa mchezo mchezo!!
Nawewe selfika mkuu uibariki jumapili hii
Kabisa yaani Saint Anne athibitishe kama unahitaji lemon tea ama la.!lol nami niselfike mafuta sio!!!
Duh mafuta yangu yamejaa vibaya sana!Kabisa yaani Saint Anne athibitishe kama unahitaji lemon tea ama la.!
Hivyo hivyo tunayone mkuuDuh mafuta yangu yamejaa vibaya sana!