Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,308
Amejiita jina la hesabu linatupasua jina ,alikuwa anatafuta derivative huko🤦Bila Shaka huyo atakuwa kijana wa hovyo hovyo😅
Sasa hivi anajiitaje? Maana hili jina la juzi sijalishika kbs,Lina namba namba 😅
Unanichumia dhambi ujue.hahahaha.napenda wadada watata,ila we unaonekana mtata zaidi
Sijajua mwenyewe nasubiri jibu maana naona chakorii na Saint Anne wanajadiliSasahivi 9.8ms squared anaitwa nani ???
Hata sisi kule vijijini babu zetu walitokea hukohuko SA.Mimi Kabila langu ni Afrikaans..Mzee alitoka miaka mingi sn huko south,na sijawahi kumsikia akiongea
Sasa tunafanyaje sisteri😅..nifunze hata kinyakyusa basiHata sisi kule vijijini babu zetu walitokea hukohuko SA.
Hujawahi ishi mkoani??Sasa tunafanyaje sisteri😅..nifunze hata kinyakyusa basi
[emoji1787][emoji1787]Habari! Hivi ushawahi selfika kweli?? Tupiapo basi
Mwambie jana ulitupia Kvant humu.[emoji1787][emoji1787]
Alisema watu wakianza kumfahamu tu anabadili I'd... Hadi Jana alikuepo na ile ya 9.8ms squaredSijajua mwenyewe nasubiri jibu maana naona chakorii na Saint Anne wanajadili
Kabisa wige selfika mkuu![emoji1787][emoji1787]
Unauzoefu sana👊🏿👊🏿👊🏿Sawa kabisa
Hao picha zote mbili
Wapo 30+
Ni watamu na hawana utoto
Kama 27 kuja chini
Angalia pozi zao na wanavyojiamini[emoji1787][emoji1787]
ThubutuuUnanichumia dhambi ujue.
Mimi mpole mnoo..
hahahaha.nisamehe.napenda utata wako.au unanionea mm tu?Unanichumia dhambi ujue.
Mimi mpole mnoo..
Mimi sio[emoji1787]Mwambie jana ulitupia Kvant humu.
Umekaa kilokole,huendani kabisa na kunywa kvant.
Acha ukuda basi uione pepo mwamba.Thubutuu
Una ashuo sio za nchi hii[emoji1787]
Nakutizama(ga)
Nasema hiiiiiiii hahaaa[emoji1787][emoji1787]
kumbe nawe unajuaThubutuu
Una ashuo sio za nchi hii[emoji1787]
Nakutizama(ga)
Nasema hiiiiiiii hahaaa[emoji1787][emoji1787]
Sio sanaUnauzoefu sana[emoji1534][emoji1534][emoji1534]
Mbabe wakoAcha ukuda basi uione pepo mwamba.
Hakyamama tena mimi sio mtata.ni mtu poa sana ukinijua[emoji3526]
Wapi makofi Yake tafadhali Kwa mtu chake.hahahaha.nisamehe.napenda utata wako.au unanionea mm tu?