Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mbona mi msweet tu sis darling! Sio wiki hii tu, nipo hivyo maisha[emoji23][emoji23]
Muacheni mtoto wa watu adekeee βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈWivu huo kwio[emoji57][emoji57]
Akiniweka mwisho namsutaππ,Wewe ni kachizi fresh ujue? Na sisi tumegoma kutagiwa mwishoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes; kufiwa kusiwe portion yako.Najua sio mimi, but huenda kuna mtu anataka kusepa kwenda homuni [emoji4][emoji4][emoji4] maana wimbo umekuja ghafla rohoni mwangu na strong feeling
Dah umeanza kunipa na mimi wasiwasi ,,Najua sio mimi, but huenda kuna mtu anataka kusepa kwenda homuni πππ maana wimbo umekuja ghafla rohoni mwangu na strong feeling
Ewaaa! Niko hivyo, sema pia niko na utani mwingi[emoji23][emoji23]Aaah si nakufahamu[emoji23][emoji23]
Waambie haoMuacheni mtoto wa watu adekeee βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Amekuwa na muonekano wa kilokole yaani kwa kweli hadi mimi ananikosha huu mwaka.Brod darling, week hii upo msweeet
Muacheni mtoto wa watu adekeee [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Ewaaa! Niko hivyo, sema pia niko na utani mwingi[emoji23][emoji23]
Haya ni maneno ya wakosajiπ€£π€£FA sio kipaumbele chetu bwana we![emoji39]
Akiniweka mwisho namsuta[emoji23][emoji23],
Si aliacha kunitag nikamsuta,sasahivi ananiweka mwishoni,,sipendi unyonge[emoji38]
Amekuwa na muonekano wa kilokole yaani kwa kweli hadi mimi ananikosha huu mwaka.
ππππVi-last born ni changamoto sana aisee
Come like a rushing wind (come like never before) ππDah umeanza kunipa na mimi wasiwasi ,,
Kuna kaupepo kametukalia vibaya,,,ila Mungu ni mwaminifu.
Mchawi amtamani nani ushindweπ€£Nyie mnan'aa nga'ari mnapendezeana lazima wachawi wawatamani πππ
Kuhusu hilo ondoa shaka Chakorii, tupi serious, wana mwanza tumempa zawadi na maagizo yote bwana T 1990 ELY alafu kama ujuavyo hakunaga watu wa kwetu walio janjanja.. tukisema yes ni yes πππUnajua nitakudai ohoo