Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutuuuuu🀣🀣
Naweza kimbia hadi nikapaaaa 😁😁😁, nimekumbuka mbio kipindi nipo chuo kuna mwanafunzi mwenzangu akanipeleka uwanja wa fisi, ile kuona yale mambo alinikuta chuoni nimelala nilifikaje fikaje sijui, ndio mbio ambazo nitazipiga nikivamiwa na mrembo asahivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukivamiwa hutopata hiyo nguvu ya Kukimbia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…