Selfika na JF: Snap it. Show it

Yesu kwako ninalia
Nitakufa ukiniacha
Wokovu nisogezee
Vivihivi nitwae

Nina dhambi na sifai
Damu yako natumai
Naja hivi hukatai
Vivihivi nitwae


Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwahiyo nimepata utakaso


Ni neema ya ajabu kupata wokovu
Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Beatrice Mhone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…