Hii ni kama ajali nyingine maishani,kwangu naendelea na show maana muhimu ni kwamba mimi ndio nipo mzigoni.
Kwani ukiwa unalima alafu ukajikwaa na jembe unaacha kulima??!
Sometimes don't take everything person,wewe sio wa kwanza na hautakuwa wa mwisho period...