Aah waap[emoji849],,yaani nimesoma sijaelewa kitu,nimehisi kizunguzungu[emoji2902]hio story nimetunga [emoji23][emoji23][emoji23]
nilitaka nijue tu kama we ni wakitaa kama ulivyosema, nimegundua sio [emoji23][emoji23][emoji23]
kuna cmmnt unasema Mie nasikiaga kitaa raia wanasema nikajua na wewe unajua hizi lugha
Lipia tangazo wahisani
Mnataka kushindana[emoji849]Anza basi mimi na maliza... Full pic weka
hahahahahahahahahadah hivi computer haina hata sehemu ya kucheka
mm mwenyewe sioni emoj
Ataniweza sasa namuonea huruma[emoji8]Mnataka kushindana[emoji849]
Kiporo hichi... Hatutaki
Acha masikharaaaaa. Watumia browser sivyo?dah hivi computer haina hata sehemu ya kucheka
mm mwenyewe sioni emoj
ngoto ni bundukiAah waap[emoji849],,yaani nimesoma sijaelewa kitu,nimehisi kizunguzungu[emoji2902]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiporo hichi... Hatutaki
Post mpya.
Kwahiyo atulie[emoji16]Ataniweza sasa namuonea huruma[emoji8]
we muweke hapa mkuu, mie nishaweka sana, shusha vyumaAnza basi mimi na maliza... Full pic weka
Duuuuh[emoji3061]ngoto ni bunduki
ngawira ni pesa
mmasai mmoja ni buku ten
cha orkokola ni bangi
sedere full ni usalama
na kadhalika 🙂
Shabiki[emoji41]we muweke hapa mkuu, mie nishaweka sana, shusha vyuma
Akae kwa kutulia maana nikiweka hata mitambo ya JF itazimaKwahiyo atulie[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] Anataka asbabishe server za JF kupata heatShabiki[emoji41]
we tulia mtoto mzuri kuna jamaa anataka battle eti ana pisi kali kunizidi, mwambieni aiweke basiKiporo hichi... Hatutaki
Post mpya.
Weweeee acha banah, utakuja jiona mjinga watu wametulia tuhumu jf hakuna mwanaume anamiliki pisi kali zaidi yangu kama anabisha mwambie athubutu aone
mi nikipost hapa utashangaa staff wote akiwemo @maxence mello na yule dada wa taarifa za habari anaitwa Miss Zomboko atakuja ku comment[emoji23][emoji23][emoji23] Anataka asbabishe server za JF kupata heat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]isije ikaripuka,nikae pembeni mie[emoji2902][emoji2902]Akae kwa kutulia maana nikiweka hata mitambo ya JF itazima