Niko slim/skinny, mrefu wa wastani, black, ndevu sina, pesa sina, sio mvaaji kivile, sili kwa ratiba nakula endapo tu nikihisi njaa, mtu wa indoor [emoji3]. Tabia yangu mbaya ni kukosoa na kurekebisha kila ninachokiona hakipo sawa.
Picha hii ya last yearView attachment 1932553
Nshazoea kama barakoa π·π·πToa ua kidogo, utakosa pumzi.
πππ najua mpenzi....I meant siipendi ππ Imenikalia kushoto sana π₯΄Meyonaizi dadaππ.
Kama ulishawahi kwenda kwenye restaurant ukaorder grilled/fried calamari the sauce ambayo wanakupa(hutegemea na place)ni tartar sauce so Mayo ipo ndani yakeπ
ππππHata mimi siipendi yenyewe yenyewe mpka ichanganywe na white vinegar.so hauko pekeyako mamaπππ najua mpenzi....I meant siipendi ππ Imenikalia kushoto sana π₯΄
Asante pia. Nitakuwa natupia mara moja mojaJamani sio kwa hiyo caption. [emoji23] Ni kheri kama wakosoa na kurekebisha.
Ahsante kwa picha.
bila shaka ni utunziJuan comes up to the Mexican border on his bicycle.
He's got two large bags over his shoulders. The
guard stops him and says, "What's in the bags?"
"Sand," answered Juan.
The guard says, "We'll just see about that - get off the bike!" The
guard takes the bags and rips them apart; he empties them out and
finds nothing in them but sand. He detains Juan overnight and has the
sand analyzed, only to discover that there is nothing but pure sand in
the bags. The guard releases Juan, puts the sand into new bags, hefts
them onto the man's shoulders, and lets him cross the border.
The next day, the same thing happens.
The guard asks, "What have you got?"
"Sand," says Juan.
The guard does his thorough examination and discovers that the
bags contain nothing but sand. He gives the sand back to Juan,
and Juan crosses the border on his bicycle.
This sequence of events is repeated every day for
a year. Finally, Juan doesn't show up one day and
the guard meets him in a cantina in Mexico.
"Hey, Buddy," says the guard, "I know you are smuggling something.
It's driving me crazy. It's all I think about...I can't sleep.
Just between you and me, what are you smuggling?"
Juan sips his beer and says, "Bicycles."
[emoji23][emoji23] mkuu saivi vyeo VYOTE nimemkabidhi Gerald Mimi nimekua muhashamu wa Jimbo la ISIMANI iringaTunashukuru next level.
Naona unywaji wako ni next level .
Utakuwa katibu mfawidhi mchambuzi wa vileo ,utasaidiana na geraldincredible katibu msaidizi, billdrago makamu na Jack Palladino mwenyekiti na mkemia mkuu wa vileo.
Sent using Jamii Forums mobile app
siasa huwa mara moja moja,Wewe mtembezi wa jukwaa la siasa ukipost pic yako hapa nakulipa na yangu bila ya emoj.
Deal.siasa huwa mara moja moja,
ukiweka bila emoji, mi nitaweka hapa picha 2...
Ladies 1st... πDeal.
Lakini uanze wewe π
Ulisikia wapi? Zama zimebadilika...Ladies 1st... π
Mnatuongoza inakuwaje tena tuwe 1st... πUlisikia wapi? Zama zimebadilika...
Gents 1st.