Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekupata Chief, lakini kwa makato haya utafanya nipande basi nimpelekee mwenyewe then nirudi
Kwenda mwenyewe ni bora zaidi. Upo umbali gani kutoka Unyakini? Kama upo Musoma au Misungwi huku aisee ni bora tu kutuma kwa sababu mpaka ukafike huko Green City ni shughuli pevu. Grapes zako zitaharibika ukiwa njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…