LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,367
- 6,487
Walimlenga hamnazoKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
Hahahaaa hapana mkuu hivi nimejifunzia huku huku kwetu ubenazomoziView attachment 1819368
View attachment 1819368
Lunch ya mwendokasi [emoji39]
CC Karma vitu hivi umejifunzia wapi dear, au ile safari yako ya miezi 6 ya United Kingdom [emoji3]
Nuzulati mambo yako hayo [emoji3][emoji1322]
EwaaaKazi na dawa!View attachment 1819464
Siku hizi watu sijui wamehamia wapi!nimewahamu sana humu ndaniπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ₯π₯
Kipenzi nakumiss mpk naumwanimewahamu sana humu ndaniπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ₯π₯
kipenzi we si umenikataza kuja hukuYani hata sielewi loh!!
Itabidi ankali Mshana Jr akachungulie kwenye televishoo yake aone ni tatizo π’π’
Wengine tumekatazwa kuja cc@chakoriiSiku hizi watu sijui wamehamia wapi!
Ndiyo maana mmeniambukiza kula matunda badala ya UgaliπHahahaaa hapana mkuu hivi nimejifunzia huku huku kwetu ubenazomozi
pole sana usiwe ivo mamy, ur better than this[emoji98][emoji25]View attachment 1819924
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]nimewahamu sana humu ndani[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndiyo maana mmeniambukiza kula matunda badala ya Ugali[emoji1]
Next time nitakupeleka kwetu ukale Udaga na kichuri [emoji39][emoji39][emoji39]
Mchanganyiko wa nyama ya utumbo wa ng'ombe wenye mavi yake kidogo na nyongo ya ng'ombe kwa mbali ππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiyo vinini hivyo
Ohoooπ₯°π₯°π₯°π₯°π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Missing You Dear