Selfika na JF: Snap it. Show it

Mvumi siyo wilaya ni kata ipo ndani ya wilaya ya Dodoma vijijini ambapo kuna Mvumi mbili! Kuna Mvumi Makulu na Mvumi Mission ndiyo nikakuuliza hiyo ni Mvumi ipi Makulu au?
Kumbe!
Mi hata sielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi najua tu nilienda Mvumi igondola ndani huko
 
Mzinguaji block[emoji357]......

Sasa nitapenda mtu asiye nipenda jamn, alafu bahati mbaya niliyo nayo ata mshipa nae sasa anamke tyar na mimi navo penda wapare [emoji39][emoji39]
Mweee[emoji26]
Usikate kuniambia Mkwepu amekublock[emoji21]

Ila Bora ukomae tu na Kaka yangu,kuliko huyo mume wa mtu.
 
Hiki kilugha kimetulia sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Thanks bro, I understand. Well it's my fault there were times I used to consume alot of alcohol, didn't know I was ruining myself. But now, I'm working on it, and I will conquer it.
Mchumba wangu Jack Palladino
Upite usome hapa baba.


billdrago ,geraldincredible ,Hazard CFC
Kuna cha kujifunza hapa
 
Mweee[emoji26]
Usikate kuniambia Mkwepu amekublock[emoji21]

Ila Bora ukomae tu na Kaka yangu,kuliko huyo mume wa mtu.
Ata hajaniblock lakn toka siku ile ametumesha maindi barabaran tukimsubiri aje na hakapita kama hayaoni sina hamu naye kabsaaaaaaaaaaa

Natamani ata asiwe analike comment zangu[emoji854][emoji854].. nilijipendekeza ila jitiada hazikufua dau mpk nikakutumia wewe dada angu lkn still akukupuuza [emoji17][emoji17]
 
Mweee[emoji134][emoji134]
Ila aliniambia amekujibu PM...ina maana alinidanganya[emoji21]??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…