Hili laweza kuwa geni kwako ama la unalijua kwa jina lingine.. Hili ni tofauti kabisa na gugu maji ambalo ni maarufu kwa wengi Hapa ni gugu chawi kiboko ya mimea jamii ya kunde mahindi na Mwele Majina mengine ni haya hapa viduha, kakindu, kichawi dume na kidevu cha mbuzi Huku kwa kiingereza...