Hiyo Aisee ndio imenifanya niutazame wimbo nikajua ni uzuri wa wimbo kumbe mauno ya huyo bidadaππ
Anyway kama ni mauno kaangalie uswazi take Away ya chege.. kama ni uzuri wq wimbo (Arabic/Indian accent) mtafute mdada anaitwa Vidya vox anasauti amaizing sana. Anza na huu.
Sio Mchezo
Hio nyimbo ya Wasudan, Waarabu wameuteka
Nyimbo maana yake Mwanaume anamwambia demu wake twende tukanywe kahawa na wewe utakuwa sukari yangu βπ«