Mwenyewe nimeshtukaaa...Huyo soulimeti umlete nyumbani umtambulishe.
Nipo.Duh mkuu upo?
Habari za siku?
Watoto wa kike na baba zao[emoji57][emoji57][emoji57]
Hata usiniambie 😏😏😏Nini tafsiri ya kuvaa pete kwenye kidole gumba? Je wajua?
😁😁😁 nimemaanisha kuwa Sijui na sitamani kujua maana waswahili wana mengi sana🙈🙈 Unaweza ukajikuta unashindwa/ogopa kujiachia na vitu basic kabisa 😏😏Hapana sijasema nitafanya hivyo[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
🤗🤗🤗Pisi kali
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]hapana usiogope tafsiri za vitu kwakuwa mwisho wa siku mwamuzi ni wewe[emoji16][emoji16][emoji16] nimemaanisha kuwa Sijui na sitamani kujua maana waswahili wana mengi sana[emoji85][emoji85] Unaweza ukajikuta unashindwa/ogopa kujiachia na vitu basic kabisa [emoji57][emoji57]
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]hapana usiogope tafsiri za vitu kwakuwa mwisho wa siku mwamuzi ni wewe
Ningekuwa sikupendi ungekua hai?Wewe si hunipendi unategemea nitadeka kwa nani tena