Unajua unazidi kunivuruga 😅😅😅Nimeshiba sasa, miguu juu na Heineken inashuka taratiibu. Siku imeanza.
Njoo ukule mdudu Tangi bovuView attachment 1539087View attachment 1539088
Ahsante mwaya
Wacha wasikie tu jamani Mungu fundi [emoji350][emoji351]Vunga basi mpka watu wasikie mwamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ohoooo ngarobobobobo....sifunguki🤣🤣🤣Funguka mtumishi [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wacha wasikie tu jamani Mungu fundi [emoji350][emoji351]
Simu zangu si hujibu ...[emoji1]It's Sunday [emoji124]
Ila wewe lakini....
Nitamtanguliza Mungu mberee in Magufuli voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787]angalia utakuja kuwa kama umomi ukishindwa kujicontroo
Kimaro Vant hizo siku nikiwa na Hazard CFC ndo naonjaTunajua kwa vilemba..
Wewe endeleea tuu [emoji23]
Kwamba unanena kwa Lugha...[emoji23]Ohoooo ngarobobobobo....sifunguki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hallelujah
Msalimie, namuona hapo pembeni ..Kimaro Vant hizo siku nikiwa na Hazard CFC ndo naonja
Sunday sawa...ila hizo ofisi za hapo mitaa ya Kloku Tawa si unajua zinapiga kazi hadi jpili .It's Sunday [emoji124]
Ila wewe lakini....
Tena vibaya mno😅😅Kwamba unanena kwa Lugha...[emoji23]
Naaam mkuu[emoji39][emoji39][emoji39]Nimeshiba sasa, miguu juu na Heineken inashuka taratiibu. Siku imeanza.
Njoo ukule mdudu Tangi bovuView attachment 1539087View attachment 1539088
Kivipi tenaUmenikosha
California love
Tukate kichwa sasa tupate nyingine ya tumiguu na tumikono...
Sina uhakika sana maana sihusiki na yoyote pale 🚶Sunday sawa...ila hizo ofisi za hapo mitaa ya Kloku Tawa si unajua zinapiga kazi hadi jpili .
Baba J unajuaga kunipa lawama sana😀😀Simu zangu si hujibu ...[emoji1]