Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa nnapiga kitu inaitwa "corona kitu gani"View attachment 1537262
Ni Korona hii bia ya Amigos wa Meksiko au ni kitu hard liquor? Kama ni hiyo bia mi wala ilikuwa hainileweshi wakati nikiwa bado mwanachama. Sana sana kuumwa kichwa tu


Siku ukiweza kuipata hii kitu inaitwa Dogfish Head 90 utakuja kusimulia. Ni IPA moja laini sana. Ukikata mbili tu safiiii


 
Hapana mkuu, huu ni cocktail, hatari sana ina gin, whisky, rum, tequila, vodka na coke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…