Mungu...!!!
Kuna watu nilikua sina mpango kuwafata pm ila baada ya kuwaona wanahamasisha mno!
Kwakweli ni mateso bila chuki!
Mzigua90 nifungulie pm. Siwezi ishia kuls kwa macho akii
Hizo hips mmhhh... ngoja ni activate Leser eyes nione kwa ndani..
Kumsalimia dadaa kwani kuna shida etiii? Msalimie shemu..
Kumsalimia dadaa kwani kuna shida etiii? Msalimie shemu..
Ohooo.. hata sikuusevu niwe nakukumbukia..
Hahahaaa pole.. huo uchafu unakunywa?? Mmh mie siwez nilijaribu yakanishinda
Mmhh hapana kwangu. Ipo kama ujiMbege unaita uchafu kweli?? Kinywaji kizuri sana hiki
Kumuangalia dadaa. Ila mm namkosi wasichana karibu wote wa jf nawaita dada
Mmhh hapana kwangu. Ipo kama uji
.....Apo vp
Pole..Embu tuma kitu chochote kile picha yangu itoke kwenye display. Nimetuma hiyo ya mbege naona bado tuu...[emoji26]
Mimi ata sipendi labda unipe bia..
Lini nije unifunze tuinywe wote. .
Pole ni suala la muda tu itatoka..
Njoo tukeshe pm.. fungua tuisubiri itokeHadi usingizi umegoma. Nataka itoke kwanza ndo nilale.
Waoooh sijui kama sitakua kigoma..!!
Au nikipata nafasi ya Dar nikutafute japo haitakua chini ya Dec or January
Njoo tukeshe pm.. fungua tuisubiri itoke
Aah bana acha hvo.. mm ata sina madhara