Wow hongera..Da vinci nmejaribu kuandika jina lako bwana mdogo
01000100 01100001 00100000 01110110 01101001 01101110 01100011 01101001
Hahah its funny π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanya mambo basi shemeji
Una mguu mtamu kweli kweli, lifisi niko hapa[emoji23]
Meza baba NaaNiseme neno?
Mwendo wa jiguuuu
Wakubwa mkuje hukuu
Tumeshakuwa mateja wa huu uziKauzi katamu sana
Una mguu mtamu kweli kweli, lifisi niko hapa[emoji23]
Mwakani unipitie jamaniMimi nakimbia kila mwakaView attachment 1221134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ze nidifuli
Maliza kabisaaaNajaribu jaribu
Uoga wangu Nini!?Wewe muoga sijawahi kuona,je kama ni spesheli kwaajili yako
Mwakani unipitie jamani
unanitamanishaKipepe [emoji23][emoji23][emoji125]
Uoga wangu Nini!?
Nimeweka picha Kama zote humu.
Wewe jiamini itupie humu
Kabla sijasoma comments picha mnaweka au mnapiga story kusoma comments 1000 sio mchezo kisha uambulie tufoto tuwili.