Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,308
Milidhani umegeuka Mkwepu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] una macho mazuri
Nimeyafananisha na ya mtu fulani hivi
Kama yangu eeh 😍[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] una macho mazuri
Nimeyafananisha na ya mtu fulani hivi
Ningekuwa na mwili Kama huo ...! Jamii ingejuta. Ni mwendo wa shots tu...na vigauni m-bano vifupii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nimekonda Zaidi ya pale
Imagine nikoje[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kill time 😎
Dunia ina mambo [emoji23]Ningekuwa na mwili Kama huo ...! Jamii ingejuta. Ni mwendo wa shots tu...na vigauni m-bano vifupii
Macho ya wizi haya😆Mama wawili.
View attachment 1524123
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vaa kaptura fupi na aje mtu mnene avae kaptra. Utaona kituko hapo Nani😆Dunia ina mambo [emoji23]
Wengine tunatamani miili kama yenu, nyie mnatamani miili iliyojaa mifupa tu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani happ umeshika wine au?Macho ya wizi haya[emoji38]
Grants mixer na Redd's🤸[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani happ umeshika wine au?
Hahah!Vaa kaptura fupi na aje mtu mnene avae kaptra. Utaona kituko hapo Nani[emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Isije ikawa mimi ni shangazi yako.
Weka na zile nywele zetu tuoshe macho [emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alishajisema pale juu [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweee
Huyo mtu yumo humu humu JF
Milidhani umegeuka Mkwepu
Kutoa likes bila kucomment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yangu eeh [emoji7]
Chibonge una mguu mzuri.
Huwezi kuwa mvumilivu kama Mkwepu aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama sina cha kucomment sina namna inanibidi nipite kama mkwepu tu
Hebu nione basi 😍Chibonge una mguu mzuri.
Mimi chibonge mwenzio nina tege[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app