Sio lazima uende na baby kurifreshi, unaweza jitafutia muda pia ukapumzika eneo kama hilo lina mvuto sio kitoto utulivu wa hali ya juu, ukikaa hapo hakika itakutia hamu za kukaza zaidi kuzitafuta pesa