Acha kwanza nifanyie kazi hizi picha mbili tatu nilizookota , tutaonana baadae kidogo Wakuu
Sawa MkuuKila la heri
Niliweka mbona sema unataka nyingine,,,, ntaweka
Nakuzoom tuu jamaniAcha kwanza nifanyie kazi hizi picha mbili tatu nilizookota , tutaonana baadae kidogo Wakuu
UlipieeeSawa Mkuu
Vip ile ahadi naisubiri uitimizeNiliweka mbona sema unataka nyingine,,,, ntaweka
😂😂😂😂 Tabia mbaya hiyoNakuzoom tuu jamani
Nyingine
Watu wa hivi huwa wanakuwa wa hovyo tuEmbu tuletee na picha ya Dada ako hapa kwanza
Nimelipia bando😂😂😂Ulipieee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana na Ya zamani. Bwana kanishukia mm ni mtu mpya.. kua na imani dada
Yangu mie usiedit itupie kule kwa' without filter 😛😛Ngoja niedit chap alafu naiweka
Ningekuwa nayo nisingeweka kabisa.Dah acha roho mbaya mkuu
Nakuvutia picha jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tabia mbaya hiyo
Kama umewamiss kweli weka pichaWananzengo habari zenu!!!! Nimewamiss kinoma
Mkuu hicho ni kifua au Fua?
Yangu mie usiedit itupie kule kwa' without filter 😛😛
Mambo yashakuwa mengi sana humu ndanii...
Lakini shemeji mbona hivyoNakuvutia picha jamani
NakaziaEmbu tuletee na picha ya Dada ako hapa kwanza