Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Eti vumbi moja hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]8 8 sijawahi kanyaga. Magari yangu nilikuwa napandia area C tu (ABC na first choice) nasikia kuna vumbi moja la hatari huko 8 8
Unakumbuka kama nakutafuta?Waliotafuna watakuwa wanakunywa njugu ya milele mi nilikuwa msomaji tu [emoji3]
Ule Uzi sjui ulipotelea wapi
Jamatinihii wapi?
Jamatini China au Dubai?Jamatini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamatini China au Dubai?
[emoji3590]Na mama laoView attachment 1482329
Jamatini ndo pamekuwa hivyo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Pamekuwa pasafi
Usitake kunambia hujapita hapo huu mwaka[emoji44]Jamatini ndo pamekuwa hivyo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sijapita mama, nipe mwaliko basi.Usitake kunambia hujapita hapo huu mwaka[emoji44]
Huku nasubiri mwaliko toka kwako mwenyejiSijapita mama, nipe mwaliko basi.
Hee[emoji44]Jael
Ulivyotulia kama sio wewe uliyepost picha na kufuta...
Pole [emoji23]Hee[emoji44]
Nimepitwa Niko hapahapa[emoji1751]
Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole [emoji23]
Sijaingia mjini kitambo, mbona kama kumepooza sana. Kama kuna lockdown vile.