Hahahaha hamna natamani sana kufika ila sina mwenyeji tena juzi jumamosi nilikuwa karibu tu, kale kapicha nilikokatuma humu nilikapiga juzi ile ile na pale nilikuwa new bagamoyo beach resort.
Hahahaha hamna natamani sana kufika ila sina mwenyeji tena juzi jumamosi nilikuwa karibu tu, kale kapicha nilikokatuma humu nilikapiga juzi ile ile na pale nilikuwa new bagamoyo beach resort.
Ndio.
Hii mwalamusha sanasana inatumika asubuhi.
Unajibu panandi.
Mwaghona Ni Muda wowote unapokutana na mtu kwa Mara ya kwanza.
Unaweza ukajibu hivyohivyo "mwaghona" au ukajibu" ena"
Pia zinaweza kutumika zote kwa pamoja..ikianziwa na mwaghona
Ukijibu,msalimiaji anaongeza na hiyo "mwalamusha" unajibu "panandi"
Anaweza kuongezea "ndagha" unajibu "ena"