Mbona mnamshambulia mrembo guys!! Tatizo Jf mmezoea kuwekewa kila kitu feki so ikitokea mtu akawa real mnazingua Daah!!
Usijali mrembo mie silali kama ulivyopendekeza na tuendelee kuchat till monaaa.
Nina uhakika.Pengine huyu Dada aliweka kwa intention njema watu mfurahi
Maneno haya yatamkatisha tamaa siku zingine
Kwani ukitumia lugha laini Na ya busara utapungukiwa.
Be nice to people friend.You never about tomorrow

Huwa natumiwa, hata hivo wanaisha sasa maana utunzaji wake unataka uwe mvumilivu sana. Picha nilipiga wakati nawaonja nilivoletewa sahivi nilikuwa sehemu siyo sahihi kupiga picha thats why nikachomoa hii ingawa muda huo nilikuwa nawala