Hapana una maneno fulani katika nyuzi, ulivyoweka hiyo picha sikuwa online katika kupitia nyuzi ikaonekana umeifuta so nikaendelea kupekua nikaipata niwe mkweli na muwazi kuanzia shingoni hadi kwenye unyayo uko vizuri...
Mimi ugonjwa wangu ni uweupe aise, wadad wenye rangi ya chocolate na weusi sio kipaumbele ingawa inatokea mara moja mnajikuta tu mko kitandani...
Ni PM id yake mpya sitamweka wazi, naapa kama Mh. Rais alivyoapa kuwa amewasamehe wahujumu uchumi kwa moyo mmoja na wala wasiwe na wasiwasi warudishe hizo hela na kukiri makosa yao..