best yangu
Depal ameniangusha sana kuna picha alipost humu ndani kumbe kaitoa mtandaoni maana nilivyoiona sikutaka kukubali maana nilibahatika kuzoom mguu wake kwa kutumia VAR, sasa iweje ndani ya mwezi mmoja huu awe na vidole na unyayo mzuri vile kumbe kaishia kuokota picha mtandaoni...
Hata
Sakayo naona ameokota picha mtandaoni kaweka pia, nimeshangaa sana, ila baada ya kuumbuliwa ikabidi aweke picha akiwa ofiisini kidogo ile ina ukweli ndani yake...
Jamani warembo nyie ni wazuri tatizo ni hilo tu hamjikubali...