Dutch ni mwajiri wake....anatamani angewaiga hao Delta kutoa bonus
Nilienda tuu kwenye shughuli za hapa na pale. Naishi LA ila sio BH pia Karma.
Wewe upo LA?
Wewe upo LA?
Unatamani sana niwe mdogo wako eeehh..
Unatamani sana niwe mdogo wako eeehh..
Unfortunately ulizubaa kuzaliwa
Siriazi ai no nasingyu no hau
Binti watafuta laana kwa wakubwa zako naona
Binti watafuta laana kwa wakubwa zako naona
😈😈😈😈😈😈
Haujapatia.[emoji4]Nope just wanted to know uko pande zipi,, maybe somewhere in Calabasas au Santa Monica au labda nje kidogo ya jiji somewhere in Anaheim au Hollywood au wapi.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] sijapatia hata moja hapo kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujapatia.[emoji4]
Nyumbani ni nyumbaniView attachment 1331374