Nawasalimia misukule wote wa bwana Mshana jamaa anatugeuza anavyojisikia tu,
miminimama nimekuona aisee bonge la zigo
Saint anne imebidi nikusave bado natafuta gukitambi gulipo
Hawachi umejikausha picha yako inatakiwa
Sakayo naona muguu upo, jana kasura kalinibariki sana
Ntarudi