Umefika lini huko?
Mguu mguu, gozi limefanyiwa usanii wa hali ya juu muungwana afurahi.
Mimi hata sijui ni nini,anavyodai yeye ni sehemu aliyokuwa akitengenezea mikate kabla haijaharibika.Madhabahu ya kibubu
Jr[emoji769]
Kwa hiyo mzee unanicheka kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Mguu mguu, gozi limefanyiwa usanii wa hali ya juu muungwana afurahi.
Nimetoka Clarks nimehamia Aston Grey sasa.
Kwa hiyo mzee unanicheka kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sleep well ndugu, maana naona ushaingia ndani ya net