Hahahaha we ndo umepanick
Na hizo personal attack wewe ndo unazianzisha,, baada ya kuambiwa huna swaga hahaha mkuki kwa nguruwe kumbee eeh
Kwa heshima na taadhima ya uzi huu nimeweka silaha chini quote yangu ya mwisho kwako kuhusu huu mjadala
Asante sana
mzee toboa