Ngoja kwanza nihakiki post zangu kama nimeshawai kuvunja sheria maana naweza kujikuta namalizia mwaka mkadurumo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchokoziMbona huna hata comments!!
ID yako ya zamani ni ipi eti mkuu!
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uchokozi
Huendi mbiguni
Hahaha[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utanikuta napokea wageni mbinguni
Sina jamaniHahaha
Aya nataka ona shingo
hahaha basi chochote kilichopoSina jamani
Daah madhara ya kuvuka jangwan kwa miguuView attachment 1296558[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaha, mguu unao Rafiki
Weka wewe kwanzahahaha basi chochote kilichopo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wwaaaachaaa
Aya mwanao huyuWeka wewe kwanza
MamboozHi nyie.
Kabla hamjauliza maswali.
Mimi wa kushoto ambae hana tips.View attachment 1296568
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlete niende naye dukani
Hahahaha, mguu unao Rafiki
MTC | 101| [emoji769]
Ooh kumbe, basi miwani inanidanganya ...size ngapi ?
Lini nimlete etiMlete niende naye dukani
Ooh kumbe, basi miwani inanidanganya ...size ngapi ?
MTC | 101| [emoji769]