Nimemsoma nimependa sana.
Kuna jamaa alicoment kwenye picha ya Scorpio kwamba alijua tuu bimdada ni kisu instinct zake hazijawahi kumdanganya baada ya kuona picha kadhibitisha.
.
Nilipasuka kwa kicheko, bora hata bimdada aliwawekea picha waliokuwa nayo kwenye akili zao.