Usije ukamuache peke yakeHuyo mtu hiyo siku naomba msipopoane mpaka refa niwepo puliiiiizz πΉπΉπΉ
Mi najua lazima itatokea ni suala la muda tu!
Wote mna sumu moyoni, mzitoe muwe free..!!
Nina passport tayari πUpo wap kwanza
I know zama za ma bifu zimepitaπΉπΉπΉπΉ Mi adui yangu Pesa tu!
Na huyu mpuuzi pesa anajua kuninyoosha mpaka natamani kutema bungo..!!
Kule siasani kuvurugana kawaida, nishazinguana na wengi halafu baadaye tunaendeleza mapambano..!!
Staki ngamia nataka ile selfie ya kile kigauniπΉcha kijaniHabib come to bonyokwa πΉπΉ
Ongea na mimi vizuri.Sasa itakuaje na mimi nije kupanga ngamiaπ
Chino nimeingia maji marefu sana!Yaani hapo chino we kaa kando tu aiseee huambuliii π€£
Tulia kijana mdogo πOngea na mimi vizuri.
πΉπΉπΉ Ewaaaaah..!!ππ₯π₯ hapa ndio huitwa kwa bed et π«’
Diaspora sina uhakikaChino nimeingia maji marefu sana!
Huku ni kuyatimba!!
Na mi soon ntakua diaspora siwezi kaa kindezi
πΉπΉπΉ Mbona unaonekana una afya tele.Mungu mkubwa, ashukuriwe bey.
Nisipokuona chino nakua na dhoofulihal
Acha nifanye kazi aisee nimekubali mamy hongera and enjoy π₯ππΉπΉπΉ Ewaaaaah..!!
Yani hapo ndo unaingia JF unakera raia huku unawacheka..!!